
Anajulikana kama Abubakary almaarufu kama Q CHIEF au Q CHILLA ndie alienifanya nitegesshe masikio yangu kwa umakini fundi kama huyu anaacha MZiki with a Perfect Talent na Sauti nzuri ambayo inaweza ikafit popote..

Japo alipopewa kipaza sauti alianza kututakia Ramadhan Kareem japo niliitikia kimoyo moyo, Shauku yangu kubwa ilikuwa nataka nimsikie kaka Yangu wa Damu kabisa kwanini alitaka kuacha mziki.
Tunajua sehemu ulizopita Chilla na yote uliofanya hayo yote ya nyuma haikuwa sababu kwako wewe kuacha mziki ebu kaa chini ni kukumbushe siku ile uliokuwa unampigia Debe Chid Benz aka King Kong Chuma wewe ndio uliemwambia the Game still needs him sasa mbona unafanya wewe huu ndio mda sahihi mziki ulikuwa unakuitaji we all need you,
Chilla alichoweza kutuambia kwanini anataka kuacha mziki kwasababu hataki kuwa Mfungwa wa vile vilivyo wahi kutokea nyuma japo mimi bado haijaniingia akilini.

Noo..!! With all of Your Descision on my Side its a Wrong Descision wangapi tumewaona wanaanguka wanafanya alot of Mistakes na still bado wanagain up wanainuka na kusimama upya wakiwa wapya tunajua kabisa hii haikuwa mara yako ya kwanza kutuambia kwamba unaacha mziki japo ile ya kwanza sisi sote tunajua ulikuwa kwenye wakati mgumu kipindi ulicho kuwa unatumia Madawa ya Kulevya sasa umetoka kwenye Janga ilo ila tatizo ni nini sasa hii ya pili??

Ushafika pale unapopataka Chilla kumbuka kila mtu yupo na wewe naamini ata Mungu pia yupo na wewe ujapoteza kitu kaa chini angalia wapi Uliteleza na wala ujaidharilisha Bongo Fleva nikiwa kama shabiki yako na waliokuwa nyuma yakoo wote tunataka ata kesho tusikie ngoma yako mpya KUMBUKA UJACHELEWA.
No comments:
Post a Comment