
Lakini watu waliowengi wamekuwa wakilalama baada ya mchezo wa jana kumalizika kwa kumlaumu mlinzi wa Madrid na Nahodha yani Sergio Ramos kama alifanya makusudi kumuumiza Salah.
Akiwa na Tatizo la Bega ndio lilompelekea kutoka nje ya uwanja baada ya kubanwa mkono na Ramos, Salah amekuwa jicho kubwa sana kwa Liverpool ambae ameweza kushinda magoli takribani 44 msimu huu na wadau wengi wa soka wakibakia kusema na kudai kwamba Ramos ndio aliemuweka Salah nje ya mchezo.

No comments:
Post a Comment