Kweli Ulipigwa Hamisa...! Tatizo ni nini kwani? - BZONE

Kweli Ulipigwa Hamisa...! Tatizo ni nini kwani?

Share This
Juzi kati tulisikia tuhuma kutoka kwa majirani na vyombo vya habari Mwanamitindo Hamisa Mobetto na Bi  Sandra  kupishana kikauli na  kimwili  kwani  mna tatizo gani?



Japo Hamisa anatuambia ni jambo binafsi na kugombana kwa Binadamu ni kawaida japo kwenye ugomvi wowote lazima kuwe na chanzo, lakini akae akijua watu tunaomshabikia na kumpenda na tuliokuwa nyuma yao wote wawili wanatuacha njia panda kwanini akupigwa Wema, Penny wala Zari kwanini wewe Hamisa?



“Hilo siwezi kuliongelea, yeah!. is too person, is too private, is too family. Hata vikombe kwenye kabati vinagong’ana, so sisi binadamu vinaweza kutokea,”

Tunajua ata vikombe kwenye kabati lazima vigongane lakini kugongana kwao kunaweza kukawa na chanzo au kitu kitachoweza kusababisha vikombe hivyo vigongane labda kuna mtu kali tingisha ilo kabati, Ebu ngoja nikuulize Mama Diamond akupendi..

 ‘Sina kinyongo na mtu, sina bifu na mtu, mimi am just fine, may be yeye mwenyewe sio upande wangu wa kuweza kuelezea,’.


Kwa kauli ambazo unazotuambia Hamisa tunashaona kuna tatizo anyway lakini tunajua mtoto lazima awe karibu na baba yake  ila cha msingi na umuhimu its time for you unatakiwa to take your time uliweke ili sawa kama kweli you Love a guy na kama unatupenda mashabiki zako stay away and move on vizuri vitakuja kama vipo.


Taarifa za Hamisa kupigwa na mama Diamond zilianza kusambaa Jumatatu ya wiki iliyopita, May 14, 2018 ambapo usiku ya jana yake Hamisa na Diamond walihudhuria katika uzinduzi wa filamu ya Aunt Ezekiel ‘Mama’ na baada ya hapo anadaiwa waliongozana hadi Madale kwa kina Diamond ambapo ndipo kisa hicho kinadaiwa kutokea.

No comments:

Post a Comment

Pages