Drizzy ameleta ladha tofauti kabisa kushinda kwenye ngoma yake ya Nyuma "Nice For what" huku ngoma hiyo ikijikuta ikiwa imepikwa kwenye Ubora zaidi kupitia mikono ya OOgie Mane huku Drake akiweka vionjo vya aina yake kwenye Chorus akianza kwa kusema "So offended that I had to double check/I'ma always take the money over sex/That's why they need me out the way/What you expect?"
Ila Album mpya ya Drizzy inatarajiwa kutoka mwezi ujao huku tarehe na siku bado haijajulikana tunachojua kwasasa itakuwa chini ya Broskies Noah "40" shebib na Oliver El- Khatib hawa wote wakiingiza mikono yao kuipika Album hiyo huku kukiwa na huwezekano wakuwa na Collabo pamoja na Dj Premier.
Ebu jaribu kuisikiliza ngoma yenyewe ya Drake hapo chini nimekuwekea....
No comments:
Post a Comment