Chris Brown mwenye umri wa miaka 28 amejisikia kukosewa baada ya Rihhanna alipofanya interview na Vogue ambapo alisema kuwa "sijawahi kukutana na mtu alie na thamani hapo nyuma" Mahusiano yake ya sasa ambayo anatoka na Hassan Jameel.
Vyanzo vya habari vya karibia na Chris Brown vimesema kuwa Chris anajisikia vibaya sana baada ya kusikia maneno hayo huku vikidai kwamba vitu walivyokuwa navyo vilikuwa vinatakiwa kuwa na uvumilivu lakini haitokuja kusaurika kwake yeye.
Chris anajua kwamba mahusiano yao yalikuwa ya kweli lakini kuna vitu vidogo vilikuwa vinakosekana lakini kwa upande mwengine Chris amesema kuwa Rihhanna kuna vitu anavikwepa pembeni hataki kuweka wazi.
Lakini Chris sio wa zamani kwa Rihhanna kushtushwa kutokana na maneno aliyoweza kusema kwenye Interview ya Vogue na vile vile Rihhanna amekubali kuwa hana urafiki wowote kwasasa na Drake.
Home
Unlabelled
Chris Brown kaumizwa na kuchukizwa baada ya Rihhana kudai penzi lao halikuwa la msingi kwake yeye...!
Chris Brown kaumizwa na kuchukizwa baada ya Rihhana kudai penzi lao halikuwa la msingi kwake yeye...!
Share This
Share This
About Bwherever
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment