Ndoto ya kubeba kombe na kupita njia ya magendo kwenda klabu bingwa Ulaya na mda wake ukiwa unakaribia kuisha na ikiwa ndio mchezo wake wa mwisho kwenye michezo ya nje ya Uingereza.
Wataenda kucheza na Bunley wakiwa nyumbani kabla ya kwenda kucheza mchezo wa mwisho na Hddersfield nyuma ya hiyoo Wenger ataangalia fainali za Europa kwenye Tv kama ilivo kwetu sisi wote.
Alibeba makombe matatu ya Ligi na Saba ya kombe la FA akiwa Arsenal lakini hakuwahi kufurukuta Ulaya. Hawa wachezaji ambao wamepita chini ya Wenger na hawakuwa na moyo ya kumpa kocha wao heshima ya kumuaga.
Walijaribu kufanya mashambulio kadhaa hasa kipindi cha pili lakini haikutosha kuwafanya mashabiki wa Arsenal waamini kuwa wangeenda fainali kwenye mji wa Lyon.
Wenger sasa ataondoka kimya kimya sasa nyuma ya mlango akiacha timu yake pendwa Arsenal nyuma bila kombe lolote Ulaya.
Dakika 45 zinaisha walikuwa 0-0 lakini nini kilichokuja kuwatenganisha ilikuwa ni yule yule alieweza kusawazisha kule London ni Griezmann ambae alimpa fursa Diego Costa akitokea nyuma kuweza kuwaganisha klabu izi mbili kuelekea fainali.
Share This
About Bwherever
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment