WE UNAZANI NI SALAH AU DE BRUYNE...?? NYOTA WA CITY ANAAMINI YEYE NDO NAMBA MOJA! - BZONE

WE UNAZANI NI SALAH AU DE BRUYNE...?? NYOTA WA CITY ANAAMINI YEYE NDO NAMBA MOJA!

Share This
De Bruyne and Mohamed Salah are expected to go toe-to-toe for the Football Writers' Player of the Year

Salah has struck 29 times in the league already this seasonDe Bruyne and Mohamed Salah are expected to go toe-to-toe for the Football Writers' Player of the Year


Kiungo wa Manchester City Kevin De Bruyne anaamini anawewza akawa na thamani kubwa na kupata tuzo ya mchezaji bora msimu huu kuliko Mohamed salah.

Kevin De Bruyne has been a leading contender for the Premier League Player of the Year

Mchezaji huyo wa city raia wa Ubelgiji amejiona anaweza akapata heshima ya kipekee ya kuwa mchezaji Professional kwa wachwzaji Professiona, kwenye vyama vya soka pamoja na waandishi huku akiwa dereva pekee kwenye gari la Pep Guardiola kwenye michuano tofauti ususani ligi kuu ya Uingereza huku wakiwa wanatazamiwa kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya uingereza wakiwa na wachezaji wenye viwango vya juu.

De Bruyne has spearheaded City's charge towards the Premier League title this season

Lakini salah amelikataa ilo kwa kumjibu De Bruyne kupiia goli aliloshinda dhidi ya Crystal palace siku ya Jumamosi akiwa amefikisha magoli 29 kwenye ligi.

The Egyptian celebrates a late winner for Liverpool over Crystal Palace on Saturday

Siku ya Jumatano kwenye dimba la Anfield linaenda kuwakutanisha wababe hawa wawili kwenye robo fainali ya klabu bingwa ulaya  mzunguko wa kwanza.
De Bruyne anajua kabisa anaushindani mkubwa sana dhidi ya Salah ambae ni mshambuliaji mwenye asili ya kimisri ambae alitua Liverpool akitokea Roma kwa ada ya Pauni Milioni 34.De Bruyne believes the European atmosphere at Anfield will not be a factor on Wednesday

City wanaenda Anfield wakijua kuwa Liverpool ndio pekee ilioweza kumfunga msimu huu kwenye ligi na huku wakfikilia mchezo wa Jumamosi ambao watakuwa wapo nyumbani wakiwaribisha majirani zao United ambapo kama watashinda wataweza kutangaza ubingwa.De Bruyne he would be a worthy recipient of the Premier League Footballer of the Year gong

No comments:

Post a Comment

Pages