Baada ya kutamba na audio ambayo inapatika kwenye album ya MoneyMonday , Vanessa Mdee ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Wet’ ambayo amemshirikisha G Nako, pia wimbo huu unapatikana katika albam yake ya Money Mondays. Video imeongozwa na Justin Campos.
No comments:
Post a Comment