

Kupittia kwenye ukurasa wake wa Instagram Bieber alipost video iliokuwa na rangi nyeupe na nyeusi ikimuonesha yeyey akiwa anapiga ngoma. Huku kwenye caption yake akiandika 'Drums will always be my first love.'
sasa tunajua sahau kuhusiana na mambo yale ya utotoni na yale mapenzi ya utotoni, sahau kuhusu mahusiano yake na Selena Gomez na pia sahau kila kitu kingine pia ilikuwa na itakua siku zote ni ngoma kwa Beiber..@JustinBieber shows of his drumming skills. pic.twitter.com/ejhqKvURco— Pop Crave (@PopCrave) April 19, 2018

Je nani yupo teyari kwajili ya Bongo-heavy album kutoka kwa Justin Beiber?
No comments:
Post a Comment