Mshambuliaji huyo mwenye Umri wa miaka 32 alikuwa hanausawishi mkubwa kwenye mchezo huo kwahiyo nafasi yake ikaweza kuzibwa na Idrissa Gueye kwenye dakika ya 57 kwenye sare ya 0-0 katika dimba la Goodison Park na hisia zake kuonesha kuwa hakupenda kitendo cha kutolewa na kocha wake.
Lakini kwa haraharaka BigSam aliweza kunukuliwa akisema 'Atukufanya mabadiliko ya Wayne tu tulifanya mabadiliko ya watu watatu kwa haraharaka na mwisho tukamaliza mchezo tukiwa na nguvu kuzidi Liverpool na tulikuwa tunakaribia kushinda ule mchezo.'
'Kama kocha ni kitu ambacho unachotakiwa kukifanya bila kujali nani yupo uwanjani kama ukiwabadilsha unaangalia mchezo unavoenda na hapo ndo unatakiwa ufanye maamuzi ambayo yatawapa matokeo yalio chanya na kuweza kushinda mchezo husika.'
No comments:
Post a Comment