ARSENAL WAPO KWENYE MAZUNGUMZO NA ADIDAS KWENYE DILI LA PAUNI 40 KILA MWAKA KWAJILI YA VIFAA HUKU MKATABA WA PUMA UKIKARIBIA KUMALIZIKA MWISHO WA MSIMU HUU. - BZONE

ARSENAL WAPO KWENYE MAZUNGUMZO NA ADIDAS KWENYE DILI LA PAUNI 40 KILA MWAKA KWAJILI YA VIFAA HUKU MKATABA WA PUMA UKIKARIBIA KUMALIZIKA MWISHO WA MSIMU HUU.

Share This
Adidas wapo kwenye mazungumzo pamoja na Arsenal juu ya dili la kuzamini vifaa vya kimichezo  vyenye thamani ya Milioni 40 kwa kila mwanzo mwa msimu.



Mkataba wa klabu ambao unao kwasasa pamoja na Puma unakaribia kumalizika kwa mda wake mwishoni mwa msimu huu na washika mitutu wameanza hatua ya kutafuta makubaliano mapya.



Wote tunaelewa jinsi Adida walivokuwa na ushawishi mkubwa kwenye maswala ya kuvaa na kama Arsenal akiwa anavalishwa na Adidas kunaweza kukaleta muonekano mpya kwenye klabu.

Adidas are in advanced negotiations with Arsenal over a lucrative kit deal

Arsenal na Mkataba waliokuwa wanao kwasasa na Puma unathamani ya Pauni milioni 30 kwa msimu lakini Adidas wameongeza dau la Pauni Milioni 10 kwenye dili hili jipya. Mbali na hiyo Puma inaeleweka wana nafasi ya kuchagua na kufanya ulinganisho wa ofa na mpinzani wake huku ikiaminika kwenye madili ya kuvalisha uleta manufaa ya faida sana kwa zamini wa vifaa.

The club’s existing contract with Puma is due to expire at the end of next season
Mkataba wa klabu na Puma unakaribia kumalizika mwisho mwa msimu huu.

Dili lolote lenye thamani ya Pauni mlioni 40 linaweza likaleta faida kubwa kwa washika mitutu, pia Arsenal kama wakijiunga na Adidas kunaweza kuwafanya kurudisha heshima yao kwenye klabu bingwa Ulaya au mkataba wowote wenye thamani ya pauni Milioni 40. na hasa wakishinda komba la ligi ya Europa.


Puma have been Arsenal's kit manufacturer since 2014 but that is set to change
Puma wamekuwa waki wazamini Arsenal tangia mwaka 2014 lakini inaonekana kubadilika mda si mrefu

Dili lipo mezani sasa kwajili ya Arsenal huku wapinzani wake Arsenal timu kama Manchester United mkataba wao na Adidas unathamani ya Pauni ,ilioni 75 kwa mwaka ambapo Chelsea wakiwa na Nike wanamkataba wenye thamani ya Pauni Milioni 60 kwa kila msimu.


No comments:

Post a Comment

Pages