'NINA UHAKIKA WATU BADO WANACHOSHWA NA AINA YA UCHEZAJI WANGU' DELE ALI - BZONE

'NINA UHAKIKA WATU BADO WANACHOSHWA NA AINA YA UCHEZAJI WANGU' DELE ALI

Share This
Dele Alli celebrates his first goal of the day  as Tottenham managed to end a 28-year wait for a win at Stamford BridgeDele Ali amewezakufunguka na kusema baadhi ya thuhuma anazopata zinamfanya yeye kuweza kufanya zaidi ya hapo alipokuwepo ata baada ya kupata magoli mawili dhidi ya Chelsea.

The 21-year-old England midfielder struck twice in the second-half in a 3-1 Tottenham win

Alvaro Morata  alishinda goli la uongozi kwa Chelsea lakini Spurs waliweza kurudi mchezini kupitia Christian Eriksen kabla ya mapumziko.

Ali alibana magoli mawili ambayo yaliweza kuwapa alama Spurs na kufanya watu wengi kuhumia vichwa kuwa mchezaji anae achwa kwenye kikosi cha Gareth Southgate.

Dele Alli believes he will still face criticism despite his excellent display against Chelsea

'Watu wananipa lawama sana kwa jinsi ya mchezo ninavocheza,' alisema mshambuliaji huyi mwenye umri wa miaka 21 'kwangu mimi ilikuwa ni kama kutoa msaada kwenye timu yangu kwa kile ninachoweza kukifanya, nimejaribu zaidi na zaidi.'

Alli sent Spurs on the way to a first victory at Stamford Bridge since 1990 with a cool finish past Willy Caballero

'Sizani kama nina cha zaidi kuthibitisha kwamba mimi ndo yule yule, nilitakiwa tu kuwepo kwenye kikosi cha kwanza ili niweze kutoa msaada kwenye timu yangu na nimefanikiwa kwa kupata magoli mawili.'

Mauricio Pochettino said it was important to win games like this to create a winning mentality

Kocha wa Spurs Mauricio Pochettino aliongoza timu yake kupata ushindi kwenye dimba la Stamford Bridge tangia mwaka 1990.

No comments:

Post a Comment

Pages