KWANI MLIJUA HAO MAN U, MJIPANGE MKIENDA UJERUMANI NAZANI MNALJUA LILE GOFU..! - BZONE

KWANI MLIJUA HAO MAN U, MJIPANGE MKIENDA UJERUMANI NAZANI MNALJUA LILE GOFU..!

Share This
Ribery accepts the plaudits after Navas' own goal saw the German giants equalise at the Ramon Pizjuan Stadium on TuesdayWababe wa Manchester United kwenye klabu bingwa Ulaya Sevilla walikuwa na adui asiyetambulika wala kumjua kwenye mzunguko wa kwanz wa robo fainali huku wakiwaruhusu Bayern Munich kupata faida ya magoli kwenye mzunguko wa pili.Franck Ribery is pumped up after his low cross deflected in to haul Bayern Munich level eight minutes before half-time

Bayern Munich hawakuonesha kile kiwango chao na zile swaga zao walionesha walipocheza na Borusia Dortmund ambao waliwachapa 6-0 lakini hawakutaka kufanya kwa Sevilla hasa walipokuwa ugenini waliwapa mawili tuu ya kusumbua akili zao.



Pablo sarabia ndie aliyekuwa kwanza kufungua mlango wa magoli kwa sevilla kwa kuipa Sevilla goli la uongozi . Bayern walionesha baadhi na kati ya kiwango chao kwenye mashindano haya kwa kuwaacha nje Arjen Robben pamoja na James Rodriguez. Lakini ndani walikuwa na Frank Ribery ambae ana umri wa miaka 34 lakini alicheza namba 7 kama bado kijana 

Ribery, who was heavily involved in the action early on, sees his shot at goal blocked by Sevilla defender Simon Kjaer

Sevilla walianza kwa kujiamini kwa kuzalisha penati iliowapa goli, baada ya kipindi cha pili kuanza Sevilla walirudi tena na Moto ule ule lakini ikafikia mda bayern ikabidi wavae uhusika wa nyumbani 
ambapo mnamo mwa dakika ya 68 Bayern waliweza kujipatia bao la pili kupitia Thiago Alcantara 
na kufanya mchezo uweze kumalizika kwa 1-2. 

Ribery accepts the plaudits after Navas' own goal saw the German giants equalise at the Ramon Pizjuan Stadium on Tuesday

The Spanish midfielder is congratulated by Muller (left), James (second left), Kimmich (second right) and Lewandowski (right)

No comments:

Post a Comment

Pages