Kumekuwa na wakati kibao sana na zaidi ya miaka pale Cristiano Ronaldo alipofanya vitu vilivyo wafanya watu waweze kupumua lakini hii inaweza ikawa imezidi.
Usiku wa Jumanne Mshambuliaji wa Real Madrid aliweza kuzalisha Goli lake bora kwenye safari yake ya soka na mafanikio yake ya kwenye soka pale alipo pokea mtungi mwepesi kutokea kwa Dani Carvajal.

Mpira wa mwisho ulio onekana ni mrefu sana kwake yeye na kufanya mawasiliano mazito na mpira huo lakini Ronaldo anaonekana sio kama kashuka kwasasbabu ya juhudi zake zilizomfanya kuweza kuruka na kupiga baiskel na kupeleka mpira kwenye kona ya nyavu na kumfanya Gianluigi Buffon kutokuwa na la kufanya.

Je unazani kashawahi kushinda goli kama hili huko nyuma?

No comments:
Post a Comment