

Marina Acton ambae alitupa chini $17.8 milioni Novemba kwenye mjengo wa Kim na Kanye ametuimiwa kwa nyaraka zake mpya kuwa si halali na Deeona.
Deeona alisema Acton hana haki yoyote na amekuwa akikata umeme pamoja na maji kwenye mjengo huo huku akiwa anaitishia familia yake.

Kutokana na nyaraka tabia ya unyanyasaji imekuwa ikiendelea tokea mwezi wa tatu na mwanamke huyo ametuhumu kuwa Acton na rafiki zake pia wameharibu vitu vyake binafsi na miundombinu mbali mbali kama Internet Connection.

Vyanzo vinasema kuwa Marina alimpa ofa ya kupanga mjengo huo kwa $55k kila mwezi lakini hakapata huruma yoyote.
Ngoja tuvunjie Stori hii kwa hapa lakini Kim na Kanye waliuza mjengo wao kwa Acton ambae ni mwanamke tajiri akiwa na asili ya kiukraine
No comments:
Post a Comment