

Tristan alionekana kwenye Video akiwa na mwanamke ambae aliejulikana kwa jina la @ms.stephaniee_ kwenye Instagram, Jumamosi usiku walipokuwa wanatembea kwenye hoteli.
Stephaniee alichukua video hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram Jumanne usiku na kumlipua Thompson ndani ya post zake kulikuwa na mkanda wa ngono ukimuonesha yeye na Tristan wakifanya mapenzi labda tuliwajua kutokana na nyuso za kwenye kipande hiko kifupi cha video.

Pia Stephaniee aliongezea na sms kutoka kwa Tristan zikisema “If i was there i would grab u while try to walk away from me than i would pull ya hair and kiss you than trip ya clothes off and lay u down while i suck ya *** and say sorry. Than i’ ll stick this long in *** u slow but deep.”
Thomson alionekana akitoka nje ya hoteli hiyoo akiwa na wanawake wawili. Ila yeye na Khloe Kardashian wanatarajia mtoto pamoja kwenye siku zijazo. Kwasasa Khloe bado yupo kimya.
No comments:
Post a Comment