ROBERT LEWANDOWSKI BADO TU, MPAKA KIELEWEKE NJIA YA KWENDA REAL MADRID, BADO ANAIOTA BERNABEU. - BZONE

ROBERT LEWANDOWSKI BADO TU, MPAKA KIELEWEKE NJIA YA KWENDA REAL MADRID, BADO ANAIOTA BERNABEU.

Share This
The Poland international has also attracted interest from Ligue 1 giants Paris-Saint GermainMshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski bado anajieandaa kuweza kuvunja rekodi juu ya uhamisho wake kueleka Real Madrid msimu ujao kutokea ripoti za nchini Uhispania.

Lewandowski, who has scored 100 goals in 121 games for Bayern, would be a huge loss for club

Mchezaji huyo wa Taifa la Poland ambae amekuwa kwenye kiwango kizuri kwa mara nyingine tena akiwa na Bayern msimu huu anaangalia maisha yake ya soka ataenda kumalizia wapi na wakati huo huo yeye binafsi akiwa anaiota Bernabeu.

Spanish paper AS report that Robert Lewandowski will try to force a move to Real Madrid

Gazeti la Uhispania  limetoa taarifa ya kuwa mshambuliaji huyo ataiambia Bayern kwamba yeye a nataka kuondoka baada ya msimu huu kuisha na kuweza kutimiza ndoto zake za kutua Bermabeu,

The Poland international has also attracted interest from Ligue 1 giants Paris-Saint Germain

Kama Lewandowski akiondoka Ujerumani atakuwa amewapa pigo kubwa sana Bavarians. Wakati huo mshambuliaji wao ambae ameshinda magoli 100 kwenye michezo 121 kwenye klabu yake huku miamba hiyoo ya Ujerumani watatakiwa wazibe pengo ilo kwa haraka sana kwa kuwachungulia watu kama Alvaro Morata, Edison Cavan na Timo Werner

No comments:

Post a Comment

Pages