'MARCUS RASHFORD ATAKIWI KUWA NA WASI WASI JUU YA MAISHA YAKE NDANI YA MANCHESTER UNITED, MBALI NA KUKAA BENCHI'- JOSE MOURINHO - BZONE

'MARCUS RASHFORD ATAKIWI KUWA NA WASI WASI JUU YA MAISHA YAKE NDANI YA MANCHESTER UNITED, MBALI NA KUKAA BENCHI'- JOSE MOURINHO

Share This
He also dismissed suggestions that his lack of stars could impact Rashford's World Cup hopesJose Mourinho amesisitiza Marcus Rashord hana sababu yeyote ya kuwa na wasi wasi kuhusu maisha yake ndani ya Manchester United mbali na nusu ya kucheza kwake msimu huu kuwa benchi.
Marcus Rashford has been told to have no fears over his Manchester United future

Rashford matumaini yake akiwa anacheza katikati akiwa kama mshambuliaji wa United yalipotea baada ya kusainiwa Romelu Lukaku na Zalatan Ibrahimovic tangia Mourinho alipoichukua United na Alexis Sanchez alipotua mwezi Januari amefanya kuongeza ushindani katika sehemu ya ushambuliaji kwenye dimba la Old Trafford.
Rashord amesha cheza michezo 38 msimu huu michezo 18 akiwa anatikea nje lakini Mourinho ametolea mbali maneno ya watu yanayomkatisha moyo kijana huyo mwenye umri wa miaka 20 kwasasa kwakukosa kuanza michezo kadhaa.
Jose Mourinho said there were no issues with his role from the bench this campaign
'Simbagui mtu yeyote kwenye kikosi changu,' alisema kocha wa United  'kitu cha umuhimu kwake na kizuri ni kwamba siku zote huwa anachaguliwa hakuna mechi ata moja Marcus anaachwa nje au kutokuwepo benchi kabisa.'

'Marcus ni kijana mzuri sana, pia ni zao zuri na tam. Kwa uhakika tunampenda na tunamuamini na ataenda kupata nafasi ya kucheza.' 

'kwa umri wake na kitu anavovinya ni zaidi ya tosha na uzoefu wake anaoupata kila hatua anayopitia ni zaidi ya tosha pia kwetu sisi tunafuraha sana na kile tunachokiona na kukifikilia na kitaenda kuwa kikubwa mbele ya maisha yake'
"Niliongelea kuhusu McTominay alipokuwa anacheza na Rashford ni kitu kile kile. Nini kitawaweka kwenye mueleko sahihi, nini kitawaweka kuwa na uwezo wa kukua?" 
He also dismissed suggestions that his lack of stars could impact Rashford's World Cup hopes

Wanasema Rashford kukosa kucheza kunaweza kukamletea hali ya kutojiamini na kunaweza kukamuaribia kutokuwepo kwenye kikosi cha uingereza kwenye kombe la Dunia litakalo timua vumbi nchini Urrusi lakini kocha wa Uingereza Gareth Southgate alienda Carrighton kuzungumza na Mouriho.

Rashord alianza kuwika Februari 2016 akiwa amepiga magoli manne kwenye michezo yake miwili ya kwanza kwenye kikosi cha wakubwa ndani ya United akiwa chini ya Louis Van Gaal.

Ibrahimovic akiwa anajiandaa kuondoka United mwisho mwa msimu huu kijana huyu uwezi jua anaweza akapata nafasi ya kucheza nafasi ya mshambuliaji wa kati akiwa msaidizi wa Lukaku.

No comments:

Post a Comment

Pages