Kinda huyu mwenye umri wa miaka 16 ambae anachezea timu ya taifa ya vijana ambae amesajiliwa kuichezea Spurs kwenye michuano ya klabu bingwa Ulaya ya vijana amepiga chini dili la mkataba mpya ndani ya Spursna yupo teyari kuhama.
United ambao walianza kumfuatilia kwa miezi 18 wamemualika kuweza kujiunga na kikosi cha chini ya miaka 16 wiki hii huku wakiingia kwenye michuano ya MIC inayofanyika Uhispania.
Kijana huyu mbunifu amekuchachu hasa pale alipotajwa kuwa mchezaji wa mashindano ya Sonneland cup mwaka 2017. Amewavutia Chelsea nao pia
United wameshinda mchezo wao wa ufunguzi kwenye michuano ya MIC dhidi ya FC Martines 4-0.
No comments:
Post a Comment