
Lala Kent anasema “Naimani kuwa Tupac alivyokufa alichukua mwili wangu na kuendelea kuishi duniani, najua mnanicheka ila mimi niko REAL, hivi karibuni nimejichora tattoo ya THUG LIFE kama ya 2 Pac kwenye mguu wangu wa kulia”
2 Pac amefariki miaka 22 iliyopita, ilikuwa September 1996, Shakur alipigwa risasi mara nne mjini Las Vegas nakufariki siku 6 baadae akiwa na umri wa miaka 25.
No comments:
Post a Comment