Ilitaarifiwa wiki hii kwamba mbali na mmiliki wa klabu hiyoo David Sulivan na David Gold wanataka David Moyes abakie mpaka pale msimu utakapo malizika. Na imeshtakiwa kuwa wagonga Nyundo wa London wapo mbioni kumpiga kitanzi Manuel Lanzini kwa kumpa mkataba mrefu ambapo Muargentina huyoo amebakiza miaka miwili kuweza kukamilisha mkataba wake akiwa na uchaguzi wa kuongeza mda.
Mbali na hiyoo Moyes alisema "Siku zote hakuna mtu anaetaka kupotezaga kilicho bora kwake na hakuna kocha anaetaka kuwapoteza wachezaji wake walio bora kwenye kikosi, lakini kwasasa tunajiangalia sisi wenyewe mpaka palee tutakapo jijua bado tupo kwenye ligi kuu
No comments:
Post a Comment