EMINEM AWEKA TENA REKODI HII MAREKANI KWAKUSHIKA NAFASI YA PILI HUKU RIHANNA AKISHIKA USKANI KWENYE REKODI HII. - BZONE

EMINEM AWEKA TENA REKODI HII MAREKANI KWAKUSHIKA NAFASI YA PILI HUKU RIHANNA AKISHIKA USKANI KWENYE REKODI HII.

Share This
Rapa Eminem ametangazwa rasmi kuwa msanii wa pili anayeongoza kwa mauzo ya Single zake Nchini Marekani baada ya kuvunja rekodi ya Taylor Swift na Katy Perry

Eminem ameuzo kopi za single zake milioni 107.5 toka miaka ya tisini,  Taylor na Katy wanafata kwenye nafasi ya 4 na 5, Recording Industry Association of America (RIAA) imethibitisha hili.
Rihanna anaongoza kama msanii aliyeuza kopi nyingi zaidi za single akiwa narekodi ya mauzo ya kopi milioni 121
Nyimbo za Eminem zilizouza zaidi ni  “Love the Way You Lie” Ft Rihanna na “Lose Yourself” iliyouza kopi milioni 10 kama single
Mauzo ya single za Drake ni kopi milioni 55 , Kanye West ni milioni 51.5 na Lil Wayne ni milioni 32.

No comments:

Post a Comment

Pages