MAN U WANAWEZA WAKAWA WAMECHEZA MASAA 10 BILA KUSHINDA.................! - BZONE

MAN U WANAWEZA WAKAWA WAMECHEZA MASAA 10 BILA KUSHINDA.................!

Share This
Manchester united wanaweza wakawa wamecheza masaa 10 kwenye dimba la Newcastle na hawakushinda alisema Jose Mourinho baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kwenye ardhi ya St James Park.

Goli la Matt Ritchie kwenye dakika ya 65 kumeweza kuwa fanya mashetani wekundu kupoteza mchezo wa tano kwenye ligi msimu huu.

Kwa upande wa Mourinho walipiga mashuti 13 sita yakienda langoni moja kwa moja na sasa wamepitwa alama 16 na majirani zao Manchester City

Kupoteza kwa Jose Mourinho kumemfanya kupoteza mara kwenye ligi pale anapotua kwenye dimba la St james kwa mechi saba bila ushindi.

Mourinho alisema "walicheza kama wanyama" wameshinda nyumbani kwa mara ya kwanza tangia Oktoba. 

Antony Martial, Alexis Sanchez na Jesse Lingard wote walikosa nafasi kwa wageni pamoja na Newcastle na usumbufu wa goli kipa Martin Dubravka akiwa amesajiliwa kwa mkopo.

No comments:

Post a Comment

Pages