HARRY KANE AMEPIGANIA NJIA YAKE YA KUSONGA MBELE NA NDOMANA YEYE NI BORA KWENYE LIGI. - BZONE

HARRY KANE AMEPIGANIA NJIA YAKE YA KUSONGA MBELE NA NDOMANA YEYE NI BORA KWENYE LIGI.

Share This
Nabaki nikijiuliza nani ni mshambuliaji bora kwenye ligi, na kiukweli ninapata wakati mgumu sana kupata jibu na ninapata wakati mgumu sana kuchagua

Najua kwamba natakiwa kutumia njia ya  kiufundi kama wanavyo fanya askari, ila uwezi wewe binafsi ukajiita mimi ni mshambuliaji  bila kuwa na mahamuzi.

Samahani sana kwa mashabiki wote wa City ambao bado wananipenda mimi lakini naenda na Harry Kane hapo vipi eh?!

Sergio Aguero yupo kwenye level sawa, anatoa zaidi na sehemu yake anayokuwepo lakini Harry Kane anatumia kidogo akiwa kwenye eneo lake, usihumize sana kichwa hiyo ipo kwenye upande wa kiphysical sana.

Sio kwamba  Aguero awezi kumiliki mpira au kumuweka yeye kama yeye sidhani  mshambuliaji wa Spurs amejiandaa kuweka au kufanya zaidi kwenye majukumu yake.

Kuna sababu kubwa kwanini Kane anapata kura yangu yakuwa mshambuliaji bora nina mpenda sana kati na moja ya mazao wasasa kwenye ligi kuu ya Uingereza na huo ndo mtazamo wangu.


Tottenham left Merseyside with a point after drawing 1-1 against Liverpool on Sunday
Aguero amekuwa siku zote akitunukiwa na kupewa sifa ya mshambuliaji bora. Amecheza kwa kujitegemea pale alipokuwa na miaka 15 na tangia alipopata ulaini na mbinu za kazi yake iliompeleka  kwenye michezo mikubwa Duniani.

Kama ukimwangalia Kane haijawahi kuwa rahisi kwake na kunisawishi mimi.
Nilishamaliza kupata leseni yangu ya ukocha na kupata nishani ya ukocha na ikiwa ni moja wapo kusomea majibizano kati ya uhalisia na uleaji ndani ya mpira.

Itimisho langu linaweza lika kukushtua.

Najua watu siku zote wanafikili  ilikuwa ni rahisi sana. Kama ningekuwa na kipaji halisi ambacho siku zote ingeenda kunifanya kuwa mchezaji bora  lakini niamini mimi hiki kilichomo ndani ya kichwa changu.

Kama ungekuwa pale na mimi kwenye balaza la kuweka kumbukumbu pale nilipokuwa mtoto kujifua mpaka giza linaingia.  Apo ndio ungeona kwamba sio kipaji halisia na hiko ndicho nakipendea kutoka kwa Harry.

Siku zote hakuwa bora  japo niliona kitu ndani yake hasa pale alipo sema alitolewa kwa mkopo mara nyingi sana na hakupata michezo ya kucheza ata kwenye vilabu vidogo.

Sasa alifanya nini? Alirudi Tottenham na kufanya juhudi zaidi ya juhudi. Alikaa chini na kuangalia wapi alitakiwa kujiimalisha na akaweka masaa ili awe bora.

Sijasema kwamba akuzaliwa na kitu chochote, alikuwa na kipaji lakini akikukutosha siku zote.

Pale alipokuwa mtoto aliachiliwa aende Arsenal na ikabadilika  na kwenda Spurs lakini aliachilia hiende.

Pale alipo pandikizwa kwenye shamba la mkopo Norwich na Leceister alipata wakati mgumu sana kuanza lakini akukata tamaa.

Unajua nini na ilikuwaje sawa? Nina uhakika Mauricio Pochettino alikuja ndani yake akuweza kuanza mchezo wowote kwenye ligi kwa miezi minne mbali na kushinda misimu iliopita.

Harry alitakiwa kujiboresha yeye binafsi tena.

Watu walisahau lakini Cristiano Ronaldo alifanya hivo hivo alikuwa na kipaji lakini kazi yake ya mazoezi ili mfanya hawe nyota.

Na sasa kane namuona ni moja kati ya wachezaji wa word class. Mwanzo alikuwa na upofu mbele ya goli lakini kwasasa anauwezo ambao washambuliaji wakubwa wote wanao.

Kila mtu yupo makini. Lakini tusikimbie sana.

Nikiwaangalia walinzi na kujua wapo sehemu gani na nini wanaenda kufanya.
Aguero uwezo huo anao ata Robert Firmino pia. Yeye ni mshambuliaji tofauti kabisa Kane. Lakini ubora wake unaendana na Liverpool? 

No comments:

Post a Comment

Pages