WE WILL MISS YOU MASTER PASS...! CARRICK KUSTAAFU SOKA LAKINI KUBAKIA UNITED - BZONE

WE WILL MISS YOU MASTER PASS...! CARRICK KUSTAAFU SOKA LAKINI KUBAKIA UNITED

Share This
Nahodha wa klabu ya EPL ya Man United, Michael Carrick ametajwa kustaafu soka mwishoni mwa msimu huu na atabaki Man United kama kocha msaidizi wa timu ya kwanza kwa mujibu wa  Jose Mourinho.
Michael Carrick alipata matatizo ya moyo katikati ya mwaka jana na kupata matibabu, alianza mazoezi November mwaka jana na ndipo Mourinho alipompa kazi kama kocha wake msaidizi wa klabu hio.
Carrick, 36, atacheza uwanjani kwanza na kuendelea na majukumu yake kabla ya kustaafu na kuanza kazi kama kocha

No comments:

Post a Comment

Pages