ALEXIS SANCHEZ ALIZALIWA KUICHEZEA MANCHESTER UNITED..,ANAWEZA KUMILIKI KASI PALE INAPOKUJA KWENYE KLABU. - BZONE

ALEXIS SANCHEZ ALIZALIWA KUICHEZEA MANCHESTER UNITED..,ANAWEZA KUMILIKI KASI PALE INAPOKUJA KWENYE KLABU.

Share This
Alexis Sanchez can handle the pressure that comes with playing for Manchester UnitedBaadhi ya wachwzaji wamezaliwa kuichezea Manchester united na Alexis Sanchez ni moja yao. Anaweza kuimili kasi hasa pale inapokuja kwenye upande wa klabu.

Sanchez ni shujaa ambae amebarikiwa na kipaji cha haina yake. Nimuuaji anapokuwa ndani ya chumba ambae anaishi kwa magoli.

Miaka miwili iliopita alikuwa ni moja ya washambuliaji wazuri Ulaya lakini msimu huu dhaili imeonekana hakuwa na furaha kwenye maisha yake ya soka ndani ya Arsenal.He hasn't enjoyed life at Arsenal this season and will have to rediscover his very best form now

 Anaenda kwenye klabu ambayo inamsimamo na wachezaji wenye msimamo kama Romelu Lukaku, Paul Pogba na David De Gea. Bila kusahau kikosi cheenye nyota wengi Manchester United wanaenda kuwa watu wa kulazimisha miaka ya mbeleni.

Mashabiki watampenda sana. Manchester United wanahasili ya utajiri,wanatamaduni ya kulipua, kuwa na washambuliaji wenye hamu. Sanchez ajawahi kuwa na muonekano wa kuisha  na siku zote ni mtu wa mazoezi.

Ndio analipwa pesa ndefu sana, lakini huo ndo mpira lakini kwasasa.n Sanchez ni usajili mzuri sana kwa United kwa njia yoyote.

No comments:

Post a Comment

Pages