WACHEZAJI WATANO WA BUNDESLIGA AMBAO KLABU YAKO INAWEZA IKAWASAJILI DIRISHA HILI LA JANUARI - BZONE

WACHEZAJI WATANO WA BUNDESLIGA AMBAO KLABU YAKO INAWEZA IKAWASAJILI DIRISHA HILI LA JANUARI

Share This
Dirisha la usajili Januari lipo hewani sasa hivi huku mwaka 2017 ukikamirishwa na 2018.

Mwezi wa ufunguzi ndani ya mwaka ndo huu na mda ndio huu klabu zinaenda kufanya madili yao makubwa ndani ya klabu zao vitu vingi vinawezwa vikasemwa lakini hawa ndio wachezaji watano ambao klabu nyingi wanawakodolea macho kutokea ligi ya Ujerumani Bundesliga:

Leon Bailey  (Bayern Leverkusen)
 Position: winger
Umri: 20

Mjamaika huyu ameweza kuwavutiA makocha wengi sana hasa katika ligi kuu uingereza tangia alipo toka kwenye ligi ya ubeligiji alipokuwa na Genk.

Tangia msimu wa ligi uanze Ujerumani Bailey amefanya vizuri sana kwenye msimu wake wa kwanza  akiwa ameshafikisha miezi 12 ndani ya dimba la BayArena, hana magoli 8 kwenye michezo 16.

Winga huyo gharama yake kwa sasa ni £12 milioni na kwasasa Arsenal na Chelsea ndio wanatajwa kumfukuzia kwa karibu sana.

Max Meyer (Shalke 04)
Position: kiungo
Umri: 22

Ameshafunguliwa milango ndani ya dimba la Veltins Arena, hasa pale chief wa Schalke alipo thibitisha watampa mkataba mpya kiungo huyo
Bado lakini Shalke wanaonekana kuwa na hamu ya kimbakiza kiungo huyo wa kijerumani lakini ikumbukwe kiungo huyo kwasasa hana namba baada ya kupokonywa namba na Andrea Pirlo na sasa anapigania nafasi yake ya kuweza kurudi kwenye kikosi cha kwanza na anaingia kwenye miezi sita ya mwishonya mkataba wake na wasipoangalia anaweza akauzwa kama mchezaji huru.

Andre schurrle (Borussia Dortmund)
Position: mshambuliaji
Miaka: 27

Mshambuliaji huyo wa Ujerumani aliejiunga na Borussia Dortmund kwa ada iliovunja rekodi mwaka 2016 na vile vile mchezaji huyu wa zamani wa Chelsea amekuwa na wakati mgumu sana ndani ya westfalenstadion.
Ameshindwa kuonesha kiwango chake kilicho bora, ni mchezaji mwenye jicho kali kwenye goli na ukiangalia ata kiwango chake kwenye level ya kimataifa anamagoli 22  kwenye michezo 57 kwenye timu ya taifa ya Ujerumani na sio kwamba hayupo vizuri sana

Salif Sane (Hannover)
position: kiungo mkabaji
Umri: 27

Amefanya vizuri sana kwenye eneo la ulinzi kwenye kikosi cha Hannover  hanasimama mpaka sasa akiwa na urefu wa futi 6 na inch 5 Hannover sio wauzaji ile sana kwa sane lakini bei ikiwa nzuri wanamuuza kijana huyo ambae ni mzaliwa wa ufaransa anaweza akleta biashara ilio nzuri sana na kwa timu yoyote inayoitaji kuimarisha ukuta wake unaweza ukawa wakati sahihi kwa sasa.

Marvin Plattenhardt (Hertha BSC)
Position: Beki wa kushoto
Umri: 25
kwa mwaka wa tatu wa mafanikio beki wa kushot wa Hertha anakuwemo kwenye orodga ilio weza kuwapa mafaniko ni mwepesi sana wa kujua kuzuia eneo lake na ni mwepesi sana kupandisha mipira kwenye eneo la ushambuliaji.

Mkataba wake unaishia mpaka 2022 lakini klabu nyingi zinataka kweli huduma yake kwa upande wa kushoto cha kufurahisha sana hana gharama kubwa sana kwenye sayari hii ya dunia.

No comments:

Post a Comment

Pages