Ousmane Dembele aliweza kupewa dakika 20 lakini alipigana na kufanya au kuleta matokeo kwa arca ya 1-1 kwenye mzunguko wa kwanza kwenye 16 bora ya Copa de Rey.
Usajili huo wa £97 milioni kwa Mfaransa huyo alipigana kufa na kupona kwenye mvua dhidi Celta Ambao walionekana kama wamewafunga Barca na isingekuwa kwasababu ya kinda aliekuwa kwenye mawindo na Arsenal Jose Arnaiz goli lake la kwanza kwenye kipindi cha kwanza.
Aliwafanya Barca kuwa mbele kwa robo saa hivi, Denis Suarez ambae alibeba mpira hadi kwenye nusu ya Celta vigo, Andre Gomez akiendelea kwenda chini upande wa kushoto na kumimina jalooo kwa Arnaiz ambae aliweza kuzika ndani ya wavu kwa goli lenye mvuto zaidi.
No comments:
Post a Comment