Waambie - Heri Muziki ft Mr Paul, Mwana FA - BZONE

Waambie - Heri Muziki ft Mr Paul, Mwana FA

Share This
Msanii wa muziki wa Bongo FLeva, Heri Muziki ameachia audio ya ngoma yake mpya ya ‘Waambie’ ambao amewashirikisha wakongwe wa muziki nchini Tanzania Mwana FA na Mr Paul. Mdundo umetengenezwa na Abbah kutoka Studio za Instincts Records

No comments:

Post a Comment

Pages