LICHA USHINDI DHIDI YA CITY LIVER WANATAKIWA WATAFUTE KIPA...! - BZONE

LICHA USHINDI DHIDI YA CITY LIVER WANATAKIWA WATAFUTE KIPA...!

Share This
Tunasema hivi kwasababu tuliona wote Loris Karius kosa alilo fanya na kuruhusu goli la Leroy Sane kwa shuti alilopiga na kumpitia karibu yake.

Karius ambae ameweza kuletwa kwenye kikosi cha kwanza kwa mdaa kwenye nafasi ya kipa Mignolet ambae alionekana kushuka kiwango kwa makosa alioyokuwa akiyafanya. 

Gwiji mmoja wa aliewahi kukupiga kwenye timu hiyo na kwasasa ni mchambuzi wa soka katika kituo cha skysports Carragher alisema "sio wazuri kwa kuenda na kasi ya mchezo jinsi ulivo"

"Hii liverpool haionekani kabisa kuweza kuzuia mikiki wanayoshambuliwa. Wanawashambuliaji wazuri sana na wenye kasi"

"Mashuti manne yalioelekea langoni, magoli matatu, Inatia hisia yakuona Liverpool kwenye michezo mikubwa"
Carragher alikuwa anafatilia mchezo huo na Liver walikuwa wanaongoza kabla ya goli la sane ambalo liliwaweka sawa.

Baadae Liverpool walienda kuongoza kwa 4-1 kabla ya kuruhusu magoli mawili ya mwishoni mwa mchezo, kuwaweka kwenye nafasi ya ushindi, siku zote goli kipa wa Liverpool anaweza akaokoa mpira ambao ata huku utarajia.

Sasa Klopp anatakiwa kufanya maamuzi ya goli kipa namba moja, kama unatakiwa kushinda makombe unatakiwa kuwa na goli kipa mwenye viwango vikubwa ambae anaweza akaokoa mipara ambayo ulizania goli.

No comments:

Post a Comment

Pages