Klabu iyo kutokea darajani wanaonekana kususua kwenye uhamisho namba 1 wa mshambuliaji wa West Ham Andy Carroll ambae atakua nje kwa miezi michache akiwa anasumbuliwa na majeuhi ya enka.
Chelsea wanataka dili la mda mfupi kwa kuwanyemelea washabuliaji wengine akiwemo Peter Crouch ambapo Stoke hawatotaka kumtoa mshambuliaji huyo kwa mkopo na vile vile watataka mtu mabae atakae kuja kuziba pengo la Crouch pale atakapo ondoka.
Lakini wanadarajani bado wanamkodolea macho mshambuliaji wa Crystal Palace Christian Benteke mbali na kuwa na ukame wa magoli katika ligi kuu uingereza msimu huu.
Mbelgiji huyoo anagoli moja tuu msimu huu kwa mwewee hao msimu huu lakini Antonie Conte ajali hiloo.
No comments:
Post a Comment