MISS OF RAP COLABORATIONS IN REVIVAL..EMINEM TALKS - BZONE

MISS OF RAP COLABORATIONS IN REVIVAL..EMINEM TALKS

Share This
ENTERTAIMENT: Staa wa hiphop mwenye ushawishi mkubwa duniani Eminem ameelezea sababu za kukosekana kwa wasanii wa rap kwenye album yake mpya ya Revival .
Baada ya kutoka kwa album hii December 15, Album hii imekosolewa kwa kukosa wasanii wa rapa na colabo zao, msanii mmoja tu ambaye ni Phresher alisikika kwenye wimbo wa ‘Chloraseptic’, kwenye nyimbo zingine wanasikika wasanii wa pop kama Ed SheeranBeyoncé na P!nk.
Eminem ameongelea kuhusu kauli hio nakusema ‘Mipango  ilikuwepo ya kuwa na wasanii wa rap na colabo zao ila palikuwa na vikwazo flani vilivyo changia nyimbo zao kutokuwepo kwenye album’.
Ma-DJ na wachambuzi wa muziki wa hiphop wanasema mpaka sasa Eminem hana imani na baadhi ya wasanii wenye majina makubwa kwenye rap na hiphop

No comments:

Post a Comment

Pages