YANAANZA KUMKUTA SASA NA YEYE, AANZA KUFIKILIA MAISHA YAKE NDANI YA NGOME KONGWE....!! BAAADA YA KUSHUKA KIWANGO KWENYE MICHEZO YA NEWCASTLE NA BASEL. - BZONE

YANAANZA KUMKUTA SASA NA YEYE, AANZA KUFIKILIA MAISHA YAKE NDANI YA NGOME KONGWE....!! BAAADA YA KUSHUKA KIWANGO KWENYE MICHEZO YA NEWCASTLE NA BASEL.

Share This
Henrikh Mkhitaryan has been routinely overlooked by manager Jose Mourinho this seasonSPORTS: Henrikh Mkhitaryan anaweza akakutana na changamoto ya kuishindania namba yake ndani ya dimba la Manchester united  baada ya kuachwa kwenye kikosi kwa kukosa michezo miwili ilio pita.

Muarmenia huyu aliangaliwa sana na Mourinho kwenye ligi kuu uingereza ushindi waliopata dhidi ya Newcastle na mchezo wa klabu bingwa ulaya dhidi ya Basel na kupata kipigo na kumsawishi kocha wa united kuaanza kumuangalia mara mbili mbili.

Ndani ya kundi A baada ya kubanwa nawakiwa uswizi wameanza kukimbiza wakiwa na michezo 13 ndani ya siku 40 kabla ya mwaka mpya Mkhitaryan anaweza akapunguziwa kasi ya kutopangwa kwenye kikosi kwenye wiki zinazokuja mbeleni huku mourinho akiwa anakisuka kikosi chake hatari.


lakini Muarmenia huyo mwenye umri wa miaka 28 inaonekana dhairi kiwango chake kinaanza kushuka na hii baada ya sehemu ya ulinzi ya united pendwa ikiwa imerejea na kupata nguvu mara baada ya Paul Pogba, Marouane Fellaini na Zalatan Ibrahimovic na Mourinho anazidi kuweka imani juu ya Marcus Rashford na Anthony Martial  kwenye upande wa juu.Armenia international Mkhitaryan has played 16 times for United in all competitions this term

kwenye dimba la St Jakob-park jumatano Jesse Lingard aliweza kupata nafasi  ya kuanza tangia mwishoni mwa mwezi oktoba.

Inaanza kuleta taswira mpya kwa Mkhitaryan kwenye maisha yake ya united baada ya kujiunga na mashetani hao kwa ada ya pauni milioni 26 akitokea Borusia Dortmund mwaka wa jana.

mchezaji wa zamani wa Shakhtar Donetsk kauonekana kama miezi 2 hivi lakini kutokuonekana kwake aliweze kumaliza msimu akiwa na magoli 11 na kutoa mchango kwa united kwenye ligi ya Europa.

kwasasa anatakiwa kufanya tena kama mwanzo baada ya Mourinho amekubali kwamba atakuwa anasubiri nafasi kutoka kwake kuonesha kama mwanzo.Mkhitaryan was an integral player in United's run to winning the Europa League trophy

'Nimeamua kumchezesha Rashford na Martial pamoja ,' alisema kocha wa united kabla ya kichapo toka kwa Basel.
'Swali kwa wiki nyingi ilikuwa ni kwanini haw3achezi pamoja na sasa ni kwanini mkhi achezi? jibu ni rahisi tuu, mpaka pale bodi ya kimataifa itakapo badilisha sheria kwasasa naweza kuchezesha 11 tu.'


No comments:

Post a Comment

Pages