Mlinzi wa united alitolewa kwenye sare ya 0-0 dhidi ya Ujerumani kwenye dimba la Wembley akiwa na matatizo ya paja
kocha wa United alisema Jones aliliripoti kwenye kikosi cha uingereza kwajili ya majukumu ya kitaifa na akiwa na majeruhi ambayo hayajapona vizuri na akutakiwa kujumuishwa kwenye kikosi.
"ni kweli, Phil jones alikuwa na tatizo. Alikuwa na tatizo ilo wiki tatu zilizo pita, hana matatizo ambayo yanamfanya asicheze ata kwenye klabu yake "
'Alafu anaenda kwenye timu ya taifa na anarudi nyumbani akiwa na tatizo lilokuwa kubwa zaidi na kila mtu anajua alikuwa na tatizo'
'siku zote unaklabu ambapo wachezaji wake wanavitu siku zote'
No comments:
Post a Comment