Na hivo ndivo hali ilivo kwa Arsene wenger ambaye ni kocha wa Arsenal ambae ametuonesha kwamba yeye sio dhaifu na hana maumivu yoyote ata kama ushaidi upo mbele yake.
Kote duniani wanaona kwa sasa kwamba nguvu kwasasa imeamiaa kwa Spurs ambao walimaliza ligi juu ya Arsenal kwa mara ya kwanza miaka 22 iliopita na msimu uliopita na kwasasa wanamiliki alama nne mbele ya Arsenal.
Lakini credit inaenda kwa Wenger kwa kuweka ugomvii dhidi ya pambano lao kwenye dimba la Emirates, inasemekana Arsenal kwasasa ni wadogo sana na kiwango chao kipo chini Wenger ameweza kuwa nyamazisha wale waliokuwa wakiongea ongea.
Mbali na hiyo kuna maoni ambapo Spurs wanakitu kikubwa cha kutuonesha na kuthibitisha. Nafasi ya ligi kitu kikuu kimoja japo kwa miaka mitatu kadhaa Arsenal wameweza kubeba vikombe viwili vya ligi kwa kipindi Pochettino yupo Spurs-ambao mpaka sasa hawajapata kikombe chochote.
Wenger alisema ‘Unatakiwa kuwa na wasi wasi na kuwaanda wachezaji kujiandaa na mchezo na ambacho cha umuhimu na kuna hatua, unatakiwa kupiganiania na kujizuia ili wasiingie kwenye eneo lako.’
No comments:
Post a Comment