LEROY SANE 'ANANIKUMBUSHA RYAN GIGGS MDOGO' - BZONE

LEROY SANE 'ANANIKUMBUSHA RYAN GIGGS MDOGO'

Share This
SPORTS: Nyota wa manchester City Leroy Sane ambae alikuwa mchango mkubwa kwenye kikosi cha Guardiola kwenye klabu bingwa ulaya kwenye atua ya makundi.Leroy Sane glides past a challenge during Manchester City's win 4-2 win over Napoli

City waliweza kupata ushimdi wakitokea nyuma ya wenyeji wanaoongoza Serie A Napoli 4-2 kwenye muendelezo wa hatua ya makundi.

Nicolas Otamendi, John stones, Sergio Aguero na Raheem Sterling wote waliweza kuiona nyavu wakiwa Italia kusini.
Lakini alikuwa Mjerumani mwenye kipaji cha ajabu ambae aliwezwa kunaswa na baadhi ya wachambuzi pale alipokuwa kwenye dimba usiku wa Jumatano.

Mchambuzi mmoja wapo wa soka Martin Keown alisema ‘ Niliinuka kwenye kiti changu kwa goli la Aguero na Sane inanikumbusha yule Giggs mdogo.’Sane wards off the challenge of Napoli midfielder Jorginho during the first-half

Aguero alishinda goli lake la 178 tangia ajiunge na city akitokea Atletico Madrid 2011 na kumfanya mshindaji pekee mwenye magoli mengi huku akimpita Eric Brook.


Aliekuwa naodha wa City Richard Dunne alisifia sana mabadiliko yaliyofanywa na Guardiola tangia msimu uliopita City ambao walimaliza nafasi ya tatu.
Sergio Aguero celebrates scoring his 178th goal for Manchester City in the south of Italy

Alisema ‘ Imekuwa inamabadiliko kwenye klabu bingwa ulaya, City wameweza kubadilika msimu huu ulikuwa sio mpira wa kutisha lakini waliwafanya Napoli waonekane wapo chini ya kiwango.’


Jermaine Jenas aliongezea ‘ Ushangiliaji ulionesha ukali wao, unazani utawawezaje kuwazuia’

‘Napoli ni wazuri hasa pale wanapokuwa katika ushambuliaji na City walikuwa wazuri kwa hilo’

No comments:

Post a Comment

Pages