VITU SITA ULIVOKOSA KWENYE KWENYE USHINDI WA ASERNAL V RED STAR BELGRADE - BZONE

VITU SITA ULIVOKOSA KWENYE KWENYE USHINDI WA ASERNAL V RED STAR BELGRADE

Share This
Olivier Giroud's late strike earned Arsenal a 1-0 win away to Red Star Belgrade on ThursdaySPORTS: Mchezo uliokuwa mgumu nchini serbia kwa siku ya jana ambao uliamuliwa na ubora wa  olivier Giroud kwa kupiga kichwa kikali kilichozalisha goli kwa Asernal wa 1-0 dhidi ya Red star belgrade.

Tunakuletea vitu vichache vilivoweza kutokea kwenye mchezo huo kama huku fanikiwa kuangalia,

Maaracana..?On one hand, the 'Serbian Maracana' - the a 55,538 seater Rajko Mitic Stadium in Belgrade

Red star Belgrade wamecheza kwenye dimba la Rajko mitic unaochukua watu 55,538 ni ambao uwanja kati ya viwanja vikubwa duniani.

Maarufu inajulikana kama 'Marakana' baada ya uwanja maarufu Brazili ambao ulitumika mara mbili kuchezewa kombe la Dunia.

Bado anachezea Asernal? Mathieu Debuchy made his first Arsenal start since facing Bournemouth in November 2016

Ili lilikuwa swali mbalo watu wengi walikuwa wakijiuliza baada ya orodha ya wacheza wa Asernal ilivotoka akionekana Mathieu Debuchy

Debuchy alianza mchezo wake wa kwanza na Asernal tangia alivocheza mchezo dhidi na Bournemouth Novemba 2016 ni siku 326 zilizo pita, beki uyo wa kulia majeruhi ndio yalikuwa yakimsumbua.

Tifo...!Fans of eastern European sides on big nights rarely fail to impress, and Red Star were the same

Mashabiki wengi ulaya mashariki  walishindwa kutoa ushawishi kama tulivo talajia kushuhudia mabango makubwa yakiwa kwenye idadi kubwa almaarufu ujulikana kama 'Tifo'

La asha Red star Belgrade hawakutuangusha kwa kazi yao iliyotumika kuweka uwanja wa marakana kuwa kama tunavotaka.

Vipi itikio la timu ya Asernal?View image on Twitter

Debuchy katikati nyuma, Nelson beki mshambuliaji, Walcot akicheza nyuma ya namba 9 Asrsene Wenger alipanga kikosi ya wachezaji 11 Belgrade ambacho kilicho bora na mazoea mazuri kwenye mechi za mtoano.

Itikio kwa mshabiki wa Asernal katika kurasa za twitter ilikuwa tofauti kama tulivotarajia kwa kufanya vituko tofauti.A striking piece of graffiti outside the Red Star stadium claims that 'UEFA supports terrorism'

Ni kweli mashabiki wa Red star sio mashabiki wa UEFA.

Red Star wanaweza wakawa wamecheza Uefa Europa Alhamisi usiku lakini haimaanishi kwamba wanamahusiano mazuri na chama icho cha soka ulaya 

Hawana mahusiano mazuri kwasababu ya micho na ugaidi wanaouonesha timu hiyo hasa kayika uwanja wao uliokuwa na picha za Silaha.

Nyuma mashabiki wa timu iyo wamekuwa na mtindo wa kuonesha mabango yenye picha za uchochezi hasa wa kivita.

Aaagh..! inaniumiza hii na kunifanya niumwe.The beginning of the match saw some questionable camerawork with a very blurry pitch

Inaonekana kama mchukuaji picha hakuwa tayari kwajili ya mchezo, kama ubora wa picha hii pale mchezo ulipoanza, iliwakela mashabiki hasa waliokuwa wakifatilia mchezo huo kwenye runinga.


No comments:

Post a Comment

Pages