GET TO KNOW 21 SAVAGE - BZONE

GET TO KNOW 21 SAVAGE

Share This

  • Ameanza fanya mziki tokea 2015, baada ya mixtapes, kolabo na Metro brown Album yake imetoka 2017
  • Tatoo ya kisu kwenye kichwa chake ni heshima kwa kaka yake ambaye alipigwa risasi na kuuliwa alikua na tatoo hiyo hiyo
  • Alishawahi pigwa risasi mara 6 kwenye siku yake ya kuzaliwa, risasi ya kwenye shingo ilikuwa kidogo imuue "Daktari aliniambia kupoteza damu yangu ingeniua ilikuwa ni miujiza”
  • Ufanya dini ya Ifa ni inayotokea Afrika Magharibi
  • Sasa hivi amekuwa mrithi wa Wiz khalifa kwa kutoka na Amber Rose

No comments:

Post a Comment

Pages