SPORTS: Kiungo wa Barcelona Arda Turan anaweza kurudi katika ardhi mama Januari kwenye klabu ya Galatasaray akiwa na miaka 30
Turan ameangaika sana kupata namba tangia ajiunge katika dimba la Nou Camp akicheza michezo 55 tangia aondoke Atletico Madrid katika msimu wa 2015
Lakini nahodha wa Uturuki anaweza kupokea maitaji yake kwa Galatasaray ambao wapo teyari kumrudisha nyumbani kiungo huyo.
No comments:
Post a Comment