GET TO KNOW..DIEGO FOLAN,HANA UDAMBWI ILA ANAJUA KUCHEZEA MPIRA - BZONE

GET TO KNOW..DIEGO FOLAN,HANA UDAMBWI ILA ANAJUA KUCHEZEA MPIRA

Share This


SPORTS: Alikuwa na kazi kubwa sana na kuja kuwa mshambuliaji wa kuogopeka katika soka la ulaya, lakini jinsi ya uchezaji wake ndani ya uwanja alikuwa anaonekana kama mchezaji kivuli.Diego Forlan endured a torrid time at Manchester United and took 27 games to score

Baada ya Manchester United akadondokea Middlesbrough kuweka sahihi yake januari 2002 muuruguai alichukua michezo 27 kufanya maajabu yake na kutoka nje ya alama.

Kumbukumbu  zinasema alishinda goli la baraka kwenye 2-1 katika dimba la Anfield, anaweza kumshukuru Jerzy Dudek baada ya hapo akashuka thamani ghafla hasa mchezo wa Southampton kwa sababu akuweza kurudisha shati yake kwenye chati. Baada ya magoli 10 katika michezo 63 akahamia Villarreal na kwenda Atletico Madrid na historia yake ya soka ikaishia hapo hapo.

No comments:

Post a Comment

Pages