SPORTS: Klabu ya Barcelona leo imetangaza rasmi kuwa mchezaji wake, Ousmane Dembele atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu hadi minne kutokana na majeraha ya misuli ya paja aliyoyapata wikiendi iliyopita kwenye mchezo dhidi ya Getafe. Kupitia tovuti ya klabu ya Barcelona imethibitisha taarifa hizo na kuandika kuwa kesho Jumanne tarehe 19 septemba, Dembele atasafirishwa kwenda Finland kufanyiwa upasuaji.

No comments:
Post a Comment