Kwenye picha hizi ni Kylian Mbappe kwa mara ya kwanza akifanya mazoezi na Neymar jumatano ya wiki hii toka amesajiliwa kutoka Monaco kwa ada ya pound milioni 166.
Meneja wa PSG Unai Emery anategemewa kumchezesha Mbappe na Neymar kwenye mechi yao ijumaa hii.
No comments:
Post a Comment