AM A KING OF TRAP TANZANIA-CHIN BEES - BZONE

AM A KING OF TRAP TANZANIA-CHIN BEES

Share This

ENTERTAIMENT: Msanii wa Bongo Flava, Chin Bees ameeleza sababu ya kufanya muziki aina ya trap Chin Bees ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Kababaye’ ameiambia XXL ya Clouds Fm kuwa anafanya trap kwa sababu Bongo hamna msanii anayefanya muziki huo vizuri.
“Nafanya kutokana naona Bongo hakuna msanii anayeweza kufanya trap vizuri, wanafanya tu kwa sababu ya beat lakini kuna technique zake inabidi uzifuate,” amesema Chin Bees
“Off course wapo watu wanafanya trap lakini naona kama mimi nafanya better sana, still pia namshukuru Mungu ngoma zangu nakuwa siandiki lakini nakuwa nafanya zinakuwa kubwa,” ameongeza.
Ametaja ngoma ambazo alitoa bila hata kuandika ni kama Pepeta, Zuzu na Kababaye.

No comments:

Post a Comment

Pages