Conte anaweza kuonana uso kwa uso na Diego costa pale Chelsea itakapokutana na Atletico Madrid, Costa amerudi kwenye klabu yake ya mwanzo Atletico Madrid kwa uhamisho wa ada ya pauni millioni 67.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa hispania anatarajiwa kujiunga na timu hiyo mwanzoni mwa January
No comments:
Post a Comment