DIAMOND AANDIKA UJUMBE MZITO KWA ZARI KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA - BZONE

DIAMOND AANDIKA UJUMBE MZITO KWA ZARI KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Share This
ENTERTAIMENT: Ata baada ya Drama zote , Diamond Platnumz bado anampenda Zari wake, Huu ndio Ujumbe wa Diamond Platnumz kwa Zari The Boss Lady kwenye Birthday Yake, Mapenzi moto moto, mapenzi yote kaya mwaga kwenye Post hii, Sijui zawadi itakuwa nini….
Diamond anasema “Uzuri na Urembo pengine ningetembea nikakuta baadhi wanao pia… Lakini Akili, Hekma, pamoja na Roho yako ya kwenye Shida na Raha kwangu ndio kitu pekee kinachonifanya nikupende na kukuthamini zaidi kadri siku zinavyozidi kwenda…… wanaposema kwenye kila Mafanikio ya Mwanaume kuna Mwanamke imara nyuma, hawamaanishi eti anaepika na kuosha vyombo sana ama kufua nguo kila siku… Hapana! ni mwanamke Mwenyekuwa bega kwa bega na Mpenzie kwenye Shida na Raha… Happy birthday General💞

No comments:

Post a Comment

Pages