HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA J COLE KWA KUWATEMBELEA WAFUNGWA - BZONE

HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA J COLE KWA KUWATEMBELEA WAFUNGWA

Share This
MIX: msanii mkubwa wa hiphopp Marekani J Cole ametembelea wafungwa wanaotumikia kifungo cha maisha katika Jela kubwa na hatari zaidi Marekani ya San Quentin iliyopo San Francisco.
Meneja wa J. Cole, Ibrahim Hamad amesema tumejifunza mengi sana kwa kuongea na wafungwa hawa ambao hawata kaa wawe huru tena, kwenye ziara hii ya J Cole pana kipengele kinachohusu raia wanaotumikia miaka mingi kwenye jela za North America.

No comments:

Post a Comment

Pages