JE WAJUA KAMA BABA YAKE NEYMAR HAKUTAKA AENDE PSG.. - BZONE

JE WAJUA KAMA BABA YAKE NEYMAR HAKUTAKA AENDE PSG..

Share This
SPORTS: Baada ya kusajili kwa rekodi ya pound milioni 198 na PSG akitokea Barcelona, mshambuliaji Neymar ameandika ujumbe mrefu ambao ameusoma kwenye instagram yake.
Akiongea na mashabiki wake milioni 79 Neymar anasema “Mwanamichezo anahitaji changamoto na hii ni mara ya pili kwenye maisha yangu naenda tofauti na baba yangu ambaye hakutaka niondoke Barcelona,bado nahitaji ushirikiano wako kama kawaida”
Neymar amesaini mkataba wa miaka mitano na Paris Saint-Germain.

No comments:

Post a Comment

Pages