HISA ZA HOUSTON TEXAS KUCHUKULIWA NA BEYONCE - BZONE

HISA ZA HOUSTON TEXAS KUCHUKULIWA NA BEYONCE

Share This
ENTERTAIMENT: Beyonce amedaiwa kuwa kwenye mipango ya kuinunua timu ya mpira wa kikapu ya Houston Rockets, kwa mujibu wa Bloomberg.
Mmiliki wa Rockets, Les Alexander, aliyeinunua timu hiyo mwaka 1993 kwa dola milioni 85, anataka kuiuza kwa zaidi ya dola bilioni 2, kiasi ambacho Steve Balmer alikitoa kuinunua Los Angeles Clippers mwaka 2014.
Kama Bey akinunua hisa kwenye timu hiyo, ataungana na mastaa wengine wenye sehemu ya umiliki wa timu za kikapu wakiwemo Justin Timberlake (Memphis Grizzlies), Jennifer Lopez (Miami Dolphins), na Nelly (Charlotte Bobcats).
Miaka ya nyuma mume wake Jay Z alikuwa anamiliki sehemu ya timu ya Brooklyn Nets.

No comments:

Post a Comment

Pages