PACQUAIO APATA KICHAPO KIZITO KUTOK KWA JEFF HORN - BZONE

PACQUAIO APATA KICHAPO KIZITO KUTOK KWA JEFF HORN

Share This


SPORTS: Bondia Jeff Horn amechukua Ubingwa wa dunia wa WBO WelterWeight baada ya kushinda pambano dhidi ya Manny Pacquiao lilofanyika leo huko Brisbane, Australia.

Jeff Horn ambaye ni Raia wa Australia ameshinda pambano hilo kwa pointi 117-111, 115-113, 115-113 baada ya raundi 12.
Mpaka sasa Manny Pacquiao amepoteza mapambano 7 kati ya mapambano 68 aliyopigana kwneye maisha yake, Jeff Horn,29 ambaye ni mwalimu wa shule huko Australia akifundisha Physical Education ameshinda mapambano 17 kati ya 18 aliyowahi kupigana, akitoka sare mara 1.
Baada ya kushinda pambano dhidi ya Manny Pacquiao,Bondia Jeff Horn amesema anamtaka Floyd Mayweather na hii kauli sio Utani.

No comments:

Post a Comment

Pages