CABALLERO NDANI YA CHELSEA BAADA YA KUMALIZA MKATABA NA MAN CITY - BZONE

CABALLERO NDANI YA CHELSEA BAADA YA KUMALIZA MKATABA NA MAN CITY

Share This
SPORTS: Mlinda mlango Willy Caballero,35 amesajiliwa na Chelsea baada ya kumaliza mkataba wake na Man City, Kipa huyu amecheza mechi 26 chini ya Pep Guardiolaakiwa Man City.
Caballero, 35, alifika Uingereza kutoka Malaga mwaka 2014 nakujiunga na Man City.
Caballero amesema “Nimefurahi kujiunga na champions wa Uingereza”

No comments:

Post a Comment

Pages